Hii nchi ngumu sana

Hii nchi ngumu sana

Pununkila

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2021
Posts
687
Reaction score
1,728
Mkuu wa mbio za mwenge amegoma kuzindua Banda hili kutokana na mauzauza alioyaona kwenye ripoti.

FB_IMG_16311698429980604.jpg
 
Mama Samia akicheka na nyani atavuna mabua...fukuza mawaziri wasiofuatilia matumizi sahihi ya fedha za serikali. Hapo Kuna takukuru, DSO,OCD,DC,RC wote wanapitia na kukagua hiyo miradi kabla ya mwenge kuja kuzindua! Ina maana wote walishindwa kugundua hapo kuna ubadhirifu?
 
Icho kibanda hata 1m hakifiki
Hivi kiongozi ukijulisha bei ya aluminum windows hapo na milango hiyo haifiki au aikaribii million,
Alafu kumbuka kuna standard za kiserikali mkuu, mara nyingi wanatumia quality product ili wanchokijenga kiwe na life span kubwa.
 
Milion 12 tumepigwa mzee, maxmum 3m
 
Mama Samia akicheka na nyani atavuna mabua...fukuza mawaziri wasiofuatilia matumizi sahihi ya fedha za serikali. Hapo Kuna takukuru, DSO,OCD,DC,RC wote wanapitia na kukagua hiyo miradi kabla ya mwenge kuja kuzindua! Ina maana wote walishindwa kugundua hapo kuna ubadhirifu?
Kwani haya mambo yameanza leo. Wote hao uliowataja ni wapigaji tu, hakuna wakumnyooshea kidole mwenzake.
 
mwenge wenyewe unatumia hela kibao, kila wanapofika ni mkesha na wanamziki kibao hawalali ni burudani tu hata ulipofika kinondoni tuliona humu mdhamini ni nani condom sijui.

ifike hatua sasa gharama za mwenge kuzunguka nchi nzima ziwe wazi.

sio itumike milioni hamsini kuzindua mradi wa milioni tano.
 
Icho kibanda hata 1m hakifiki
Hujawahi kujenga wewe japo hicho 12m haifiki.
Hapo hiyo Milango tu si chini ya 1.3m (Top, frem, vitasa, bawaba nk)
Hapo tofali 300 = 360,000
Bati
Dirisha
Tiles
Plaster
Rangi
Mbao
Misumari.
Sink
Fundi

Total hapo ni Takriban 4m
 
Wabongo tumezidisha upigaji
Watu hawana huruma na hela za serikali
Hiyo mentality imetukaa sana

Ova
 
Hujawahi kujenga wewe japo hicho 12m haifiki.
Hapo hiyo Milango tu si chini ya 1.3m (Top, frem, vitasa, bawaba nk)
Hapo tofali 300 = 360,000
Bati
Dirisha
Tiles
Plaster
Rangi
Mbao
Misumari.
Sink
Fundi

Total hapo ni Takriban 4m

Maxmum 5m
 
Back
Top Bottom