P Pantosha JF-Expert Member Joined Sep 22, 2022 Posts 869 Reaction score 1,282 May 7, 2025 #1 Siyo kwa ukame huu. Mtu unajikongoja unapanga kwenye nyumba ambayo imeinganishwa na huduma ya maji, ila hayatoki. Hii nchi ina wizara ya maji kweli?
Siyo kwa ukame huu. Mtu unajikongoja unapanga kwenye nyumba ambayo imeinganishwa na huduma ya maji, ila hayatoki. Hii nchi ina wizara ya maji kweli?
Khanji kapoor JF-Expert Member Joined Oct 19, 2024 Posts 3,795 Reaction score 9,764 May 7, 2025 #3 Mtatufanyaje?
Lax JF-Expert Member Joined Feb 10, 2022 Posts 11,045 Reaction score 15,904 May 7, 2025 #4 Pantosha said: Siyo kwa ukame huu. Mtu unajikongoja unapanga kwenye nyumba ambayo imeinganishwa na huduma ya maji, ila hayatoki. Hii nchi ina wizara ya maji kweli? Click to expand... Waziri wa maji ni moja ya mawaziri wanaosifiwa kwelikweli mkuu🤣 Ni changamoto sana yani
Pantosha said: Siyo kwa ukame huu. Mtu unajikongoja unapanga kwenye nyumba ambayo imeinganishwa na huduma ya maji, ila hayatoki. Hii nchi ina wizara ya maji kweli? Click to expand... Waziri wa maji ni moja ya mawaziri wanaosifiwa kwelikweli mkuu🤣 Ni changamoto sana yani