Hii nchi imepata viongozi walahi!!

Hahahaaa nmeona aibu asee
 
Kwanini serikali haitaki kuingiza traditional medicines za magonjwa mengine kwenye standard treatment guideline ya afya?

Kwa nini wanapromote hii dawa ya corona tuu while dawa za magonjwa mengine hazipewi promo?

Swali lako ni zuli sana. Pale Muhimbili kulikuwa na kitengo kilichokuwa kinafanya utafiti wa dawa za asili, sijui utafiti wake umefikia wapi? Nina hakika waliweza kugundua dawa za asili ambazo ni dawa za maradhi ambazo zinaweza kuwasaidia wananchi kama zikitangazwa.
 
Kwanini serikali haitaki kuingiza traditional medicines za magonjwa mengine kwenye standard treatment guideline ya afya?

Kwa nini wanapromote hii dawa ya corona tuu while dawa za magonjwa mengine hazipewi promo?
Kwani hii ya Corona imefanyiwa majaribio na kuthibitika kuwa inatibu Corona?
 
Attachments

  • 202102012.jpg
    128.5 KB · Views: 8
  • 202102012.jpg
    128.5 KB · Views: 13
Reactions: BAK
Wale jamaa wamerudi kwao kuendeleza zile dawa za mitishamba zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…