Mr.creative
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 492
- 117
hi,jf members! kuna kitu kinanitatiza kila cku asilimia kubwa ya wasichana/Wanawake ninaopishana nao wanakuwa wamevaa suruali zimebanaa! kwa watu ambao tunatoka bush hadi aibu kuwatazama, lengo lao huwa nini?
Zinawapendeza?????? Afadhali nina makengeza...Fashion tu mkuu_na wala si kingine!.....style that gain popular...na zinawapendeza kweli kweli
funga macho unapopishana nao. kwani lazima uwaangalie?
sema wakwazwa na nini ukuiona mavazi hayo.. tukushauri.
Wamelaaniwa. Hao ni mashetani walitumwa kutupoteza wana wa Mungu.
mkishindwa ya mjini,mnarudi vijijini......ya mjini acheni mjini..