Aramba aramba ammh! ammh! aramba tena! Wanayoyazungumza wadada hawa ndio life halisi ya majority. Let be fair they are entertaining while teaching sikiza Leo tena, Kitchen Party, Nyumbani Leo, rafiki yangu Salma Dakota sijamsikiliza siku mingi kidogo n.k. WANAFUNDISHA bana
Siku hizi ukisikiliza radio za fm,utagundua jambo moja..
kwamba radio karibu zote zimeaajiri mashangingi kwa
ajili ya kuendesha vipindi hasa mchana......
mwanzo ilikuwa radio moja tu.sasa ni zote
mpaka TBC Taifa nao,
yaaani mashangingi na ushangingi kwenye airwave
zote mchana,na muziki unaotawala ni taarabu tu,
as if wasikilizaji wao wote tunaishi Mwananyamala na Magomeni....
na wote labda ni wamama wa nyumbani........
najiuliza hivi hizi radio za fm zikiajiri decent women kuendesha
vipindi vyao vitakosa wasikilizaji????
so ushangingi sasa ni taaluma rasmi na ndio popular culture
hapa TZ hasa Dar???
halafu main topic ya vipindi hivyo ni taarabu,kurushana roho,mbinu
za kukamata mabwana na kadhalika...yaani ushangingi full...
wako wapi decent women ambao wanaweza ku insipire
wanawake kuwa more independent na kupendana badala ya
ku promoti vijembe na rusha roho culture kila siku?????
hivi wasichana waliosoma seminary mfano wanaweza kweli kuajiriwa
kwenye radio hizi??au ndio kuwa decent na kujiheshimu ndo imekuwa
ushamba these days????
mara sjui mcharuko,yaliyomo yamo,mitikisiko ya pwani na kadhalika
ili mradi ushangingi umekuwa mainstreem culture naona........
Pole sana bibie haya ni mambo ya.... samaki mmoja....The Boss alisahau kuweka neno .....majority...The Boss tutake radhi tunaokaa Mwananyamala kwa Msisiri.Wengine tuna ustaarabu wetu na sio wote mashangingi.Ni maisha tu yametufanya tuishi huko.
Aramba aramba ammh! ammh! aramba tena! Wanayoyazungumza wadada hawa ndio life halisi ya majority. Let be fair they are entertaining while teaching sikiza Leo tena, Kitchen Party, Nyumbani Leo, rafiki yangu Salma Dakota sijamsikiliza siku mingi kidogo n.k. WANAFUNDISHA bana
Dah! Asante Kimey! Yani wote tunaonekana hatufai.Tukikaa wote Oysterbay nani atakaa Mwananyamala?Pole sana bibie haya ni mambo ya.... samaki mmoja....The Boss alisahau kuweka neno .....majority...
Unasahau yafuatayo.......Siku hizi ukisikiliza radio za fm,utagundua jambo moja..
kwamba radio karibu zote zimeaajiri mashangingi kwa
ajili ya kuendesha vipindi hasa mchana......
mwanzo ilikuwa radio moja tu.sasa ni zote
mpaka TBC Taifa nao,
yaaani mashangingi na ushangingi kwenye airwave
zote mchana,na muziki unaotawala ni taarabu tu,
as if wasikilizaji wao wote tunaishi Mwananyamala na Magomeni....
na wote labda ni wamama wa nyumbani........
najiuliza hivi hizi radio za fm zikiajiri decent women kuendesha
vipindi vyao vitakosa wasikilizaji????
so ushangingi sasa ni taaluma rasmi na ndio popular culture
hapa TZ hasa Dar???
halafu main topic ya vipindi hivyo ni taarabu,kurushana roho,mbinu
za kukamata mabwana na kadhalika...yaani ushangingi full...
wako wapi decent women ambao wanaweza ku insipire
wanawake kuwa more independent na kupendana badala ya
ku promoti vijembe na rusha roho culture kila siku?????
hivi wasichana waliosoma seminary mfano wanaweza kweli kuajiriwa
kwenye radio hizi??au ndio kuwa decent na kujiheshimu ndo imekuwa
ushamba these days????
mara sjui mcharuko,yaliyomo yamo,mitikisiko ya pwani na kadhalika
ili mradi ushangingi umekuwa mainstreem culture naona........
ha ha ha umenikumbusah song ya afande Sele....kwani wanaokaa Oysterbay wakifa hawaozi??? tuache kuwatenga watu kutokana na makazi.........Dah! Asante Kimey! Yani wote tunaonekana hatufai.Tukikaa wote Oysterbay nani atakaa Mwananyamala?
Siku hizi ukisikiliza radio za fm,utagundua jambo moja..
kwamba radio karibu zote zimeaajiri mashangingi kwa
ajili ya kuendesha vipindi hasa mchana......
mwanzo ilikuwa radio moja tu.sasa ni zote
mpaka TBC Taifa nao,
yaaani mashangingi na ushangingi kwenye airwave
zote mchana,na muziki unaotawala ni taarabu tu,
as if wasikilizaji wao wote tunaishi Mwananyamala na Magomeni....
na wote labda ni wamama wa nyumbani........
najiuliza hivi hizi radio za fm zikiajiri decent women kuendesha
vipindi vyao vitakosa wasikilizaji????
so ushangingi sasa ni taaluma rasmi na ndio popular culture
hapa TZ hasa Dar???
halafu main topic ya vipindi hivyo ni taarabu,kurushana roho,mbinu
za kukamata mabwana na kadhalika...yaani ushangingi full...
wako wapi decent women ambao wanaweza ku insipire
wanawake kuwa more independent na kupendana badala ya
ku promoti vijembe na rusha roho culture kila siku?????
hivi wasichana waliosoma seminary mfano wanaweza kweli kuajiriwa
kwenye radio hizi??au ndio kuwa decent na kujiheshimu ndo imekuwa
ushamba these days????
mara sjui mcharuko,yaliyomo yamo,mitikisiko ya pwani na kadhalika
ili mradi ushangingi umekuwa mainstreem culture naona........
unajua Tanzania ina lundo la wafuata mkumbo wasiojua nini na lini ni hatma yao na ndio maana nchi haina maendeleo.
Kwa nchi kama hii ambayo bado ina ombaomba waliojipanga kwenye mitaa, ina watu ambao hawana uhakika wa milo mitatu.
Ina lundo la watu ambao wanakufa kwa magonjwa kama maralia na kuharisha, ina wanafunzi ambao wanakaa chini huku miundo mbinu na vitendea kazi vikiwa finyu, na mlundikano wa watu wasio na ajira mijini.
ni wazi kuwa nchi hii haitakiwi iwe na vipindi vya kishangingi ktk radio na badala yake kuwe na vipindi vya kijasiliamali na njia za kupambana na maisha ili kila mmoja wenu ajikwamue ktk wimbi hili la umasikini.
Masikini wa shenz area huwezi kumsaidia kwa kumpa mipasho na maneno ya kipuuzi, huku ukimfundisha mbinu za kumkamata mume wa mtu au kuwa na wanaume wengi ili wamtatulie matatizo yake.
Huu ni upuuzi uliopevuka, na nimeshangazwa na baadhi ya wana JF kusapoti ushangingi wa watangazaji wasiokuwa na staha na elimu ya utangazaji hata kidogo.
Kumepambazuka sasa na watanzania mnatakiwa muamke na kufuata ya maana na muachane na yoote ambayo hamna faida nayo.
Nyie hamtakiwi kukaririshwa mipasho na kuburudishwa na muziki.
Watanzania mnatakiwa muelimishwe, muelekezwe na kufundishwa mambo mbalimbali yenye manufaa, amkeni na msiwe wapuuzi tena.
Wakati nyie mnadanganywa na mipasho redioni...kule wao wanachangisha viingilio milangoni ktk tamasha la Maralia na kujinufaisha...
Aramba aramba ammh! ammh! aramba tena! Wanayoyazungumza wadada hawa ndio life halisi ya majority. Let be fair they are entertaining while teaching sikiza Leo tena, Kitchen Party, Nyumbani Leo, rafiki yangu Salma Dakota sijamsikiliza siku mingi kidogo n.k. WANAFUNDISHA bana
Unasahau yafuatayo.......
kuwa mwenye FM stesheni ndo anayataka hayo.................... vinginevyo wangeshafukuzwa kazi.
Yale ndo maisha yetu halisi huku mitaani................................
Wanaoishi huko "MASAKI" ndo wasikilizaji wakubwa wa redio hizo......... na ndiyo maana shigongo anauza saaanaaa magazeti yake kuliko hizo "dele nyuzi" zenu. na wa huko huko ndo wanunuzi wazuri wa "ze udakuzi"
Redio zipo nyingi..........kinachokufanya ututukanie redio zetu ni nini.....??? .......we si ubaki kusikiliza malenga wetu huko kwenye redio zako......???
Taarabu ina wapenzi wengi hapa Dar kuliko unavyodhani .............. NA "WAPENZI IS DAIREKTI PROPOSHENO NA MANEI".... sishangai kuona bongo fleva wanahamia kwenye taarabu.....lakini wa taarabu kwenda bongo fleva sijasikia............??? SI UNAKUMBUKA JIPU LA KWAPA......???
MTUACHE NA FM ZETU................... PILI PILI YA SHAMBA INAKUWASHIANI........????