as1987
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 1,256
- 598
wewe unaonaje ni maigizo
jibu swali sasa unauliza mimi tena
wewe unaonaje ni maigizo
jibu swali sasa unauliza mimi tena
ni za ukweli
asante
Mhh wewe nawe.. Mwanao miss chagga nae ati anamtafuta huyu..
Kwani bado haujerekebisha mambo?Kama vipi ongea tu na baba yake upeleke posa
Sidhani kama nitawahi ndiyo natoka job .. Eeh niwahi hapa bar fastaangalia ITV usiku
Naona niongee na baba yake moja kwa moja.. au unasemaje..?
Baba yake unamjua lakini?
Hebu ning'ate sikio..