Hii nayo mpya

Hii nayo mpya

nyabaheta

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
247
Reaction score
83
Wadau habari
Kuna hiki kioja nimekutana nacho,kuna jamaa ameoa,mke wake anasoma chuo na jamaa anafanya kazi,wanapokua faragha mwanamke lazima afungue simu yake na atazame video za ngono ndo aridhike,jamaa kajaribu kumuuliza mwanamke anasema ni kwa sababu ya uchovu unaosababishwa na ubize ndo maana anatumia hizo videos kufika.
Hii imekaaje wadau,kuna ukweli hapo?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Halafu jamaa ndo anamsomesha,na wana mtoto mmoja.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Huyo jamaa ni TUNGUNYA aka BW3G3 mwambie achape lapa fwasta....
 
Mdada wa watu keshakuwa addicted na porno. Na huenda huwa anajitimizia haja zake kwa kutumia hizo porns.
Mwambie asimruhusu, with time and effort ataacha. Kama ni muumini, basi asali na kufunga atarudi kawaida!
 
hiyo ni njia ya kumfikishia mumewe ujumbe kua kazi haiwezi awaachie wenzie tu.
 
Akiona kina Mandingo si ataona ya mmewe kibamia
 
Last edited by a moderator:
hapo inabid jamaa arud jando akajifunze kutumia kinu vzr, inaonekana mahindi hayanogi.
 
Huyo mume anashindwa kumwandaa vyema mkewe, na ndio maana mwanamke anatumia njia hiyo kuvuta hisia...
 
huyo jamaa kauza ramani ya vita!
sijui kwanini hatujifunzi kuacha kusema habari zetu za ndani kiasi hiki kwa marafiki!sijui yailahi!
sijui! kabisaaa!
 
huyu mtu anatakiwa apelekwe kwa dakitare, mlete kwangu kwa tiba,, wote wawili
 
Mwacheni mtoto wa watu ajifikishe!kama mume wake ni kiazi si bora achukue mautundu yangu tu!...
 
Back
Top Bottom