Kitabu cha 'Things fall Apart'cha Chinua Achebe,kuna wazungu walitumwa kijijini kumtafuta chief Ezeulu.Walipofika pale killage,kila aliyewaona aliwakimbia.Mwishowe wakakutana na jamaa mmoja,wakamuuliza;do you know Ezeulu?,naye akauliza;which Ezeulu?,wazungu nao wakamuuliza;How many Ezeulus do you know?,Akawajibu;I don't know any!.Kwa hasira walimtandika makofi na mitama wakasepa zao.Kumbe kwa kabila la Ibo ni mwiko kuwa-direct askari wa kizungu nyumbani kwa chifu,ukifanya hivyo wewe ni msaliti.