Hii nayo kali

Hii nayo kali

SG8

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2009
Posts
3,955
Reaction score
2,135
M/kiti wa mtaa (Mkurya) akitoa hotuba msibani: M/kiti: Ndugu sangu tumekusanyika haba maarum kwa chambo mocha , msee Marwa a.m.e.f.i.r.w.a na kichana wake wa kiume yure mukubwa! Chambo la k.u.f.i.r.w.a ndugu sangu si la mcheso! Reo k.a.f.i.r.w.a msee Marwa kesho n.i.t.a.f.i.r.w.a mimi, keshokutwa u.t.a.f.i.r.w.a wewe,kira mtu lazima a.f.i.r.w.e!
 
Duh! Inaonesha mtaa huo wote watafiliwa. Ninawapa pole.
 
Mkuu huu mtaa uko Lamu nini ? nimecheka sana usiku huu nikaogopa watu waamke.
 
M/kiti wa mtaa (Mkurya) akitoa hotuba msibani: M/kiti: Ndugu sangu tumekusanyika haba maarum kwa chambo mocha , msee Marwa a.m.e.f.i.r.w.a na kichana wake wa kiume yure mukubwa! Chambo la k.u.f.i.r.w.a ndugu sangu si la mcheso! Reo k.a.f.i.r.w.a msee Marwa kesho n.i.t.a.f.i.r.w.a mimi, keshokutwa u.t.a.f.i.r.w.a wewe,kira mtu lazima a.f.i.r.w.e!

Dah,hawa wakury bana!
 
Mmmmmhhhhh naogopa nchi inaweza ikose maaskari kama wataamua kuandamana kupinga hili
 
whaaaaaaaaaaaaaaaaaattt???????? hapo ujanja ni kuvaa under nanihiii nyingi as possible huyo anaye wafi** wenzake atashindwa tu..
 
:shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth:kina mura mupo?
 
mkurya kaenda kwa mama ntilie anataka uji wa moto...arrooo mama nataka u.c.h.i. wa motoooo
 
Uchi(uji) wa mama rhoby ni mtamu, mie nakuambia uchi(uji) we apo unabikiria(unafikiria) nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom