Kiswahili cha Mwenyekiti Wa Mtaa Mkurya Msibani!

Wambandwa

JF-Expert Member
Dec 3, 2006
2,249
830
Nduku sangu tuko habha kwa chambo mocha, Rhobi amefirwa na kaka yake usiku wa reo. Kufirwa si chambo la mcheso reo kafirwa Rhobi kesho ntafirwa mimi keshokutwa wewe, chusi Ghati arifirwa na papa sake wawiri kwa pamoja kila mtu si rasma afirwe? Hee mbona mnacheka? Hibhi chambo ra kufirwa ni ra ghuchekesha chamani mnanitia aibu. Mwengine akasema msee Matiku marisa kabhura uchi hauchapoa tuna ncha..........
 
Jamaa alimkumbusha mzee matiku kuhusu uchi wa moto na kiboro cha jana, nimecheka sana na usiku wangu utakuwa mnono sana mura
 
Mi nahisi Wa2 wengine cjui wanapewa vyeo kwa sbb ya ukoo ama sbb ya fedha aliyonayo Mi cjui kabisa. Maana M/kiti wa mtaa ama kitongoji kuongea lugha ya Taifa kwa ubovu huo Mi naona asingestahi uongozi hata wa ukoo wao licha ya mtaa. Ushuzi mtupu tu.
 
unaweza ukakuta kwa hapo kijijini yeye ndio mtaalam zaidi wa lugha.
 
nimecheka kwa kweli. Amalizie tu ili wafirwa wakapate uchi na kibhoro (ashakum)
 
Nduku sangu tuko habha kwa chambo mocha, Rhobi amefirwa na kaka yake usiku wa reo. Kufirwa si chambo la mcheso reo kafirwa Rhobi kesho ntafirwa mimi keshokutwa wewe, chusi Ghati arifirwa na papa sake wawiri kwa pamoja kila mtu si rasma afirwe? Hee mbona mnacheka? Hibhi chambo ra kufirwa ni ra ghuchekesha chamani mnanitia aibu. Mwengine akasema msee Matiku marisa kabhura uchi hauchapoa tuna ncha..........
Asante mkuu!
 
ha,ha,ha,ha,haaa.... Jaman jaman hata ningekuwa mm ningekuwa nacheka 2uu japo ni msiban. Mana ninakumbuka niliudhuria msiba mmoja mchungaj akachapia watu wote wakacheka sasa cjui hii ingekuwaje
 
We cheza na wakurya tu, watakugecha na mapanga yao. Ndo utawajua wao ni kina nani?
Kama watu wote wanafirwa, basi huo mtaa haufai kuhamia.
 
Kanathiombaye Mura!!!!Nipatie CHIBUZI (chips) na kakokakora barrridiiiiiii kama KIRUNGURI.
 
BWaaaahahahaha hohohoho heeeh...

Man una mambo.hivi hili jina la robi nini asili yake mura?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom