Mpe sumu huyo mbwa
...Kula ugali ukale. Huna hatimiliki ya hilo jina! Kama vipi, na wewe tafuta Mbwa ama Paka nawe umpe jina la huyo jirani kisha nunua zile maikrofoni/spika za mkononi halafu uwe unaitumia kumuita huyo Mbwa/Paka wako kwa sauti kuuubwa. Jino kwa Jino a.k.a Tit for Tat!
Jamani Kuna hili naona kwangu nigumugumu sana naomba niwaulizeni wakuu ndani ya JF!
Wewe unajirani yako najirani yako amefuga MBWA siku moja unarudi nyumbani kwako na hupo drishani kwako,mara unasikia jirani yako anamwita MBWA WAKE kwa jina lako!!Kama ni wewe unafanyeje??Busara inahitajika imetokea hii!!!