Hii namba ya NIDA mbona inaandika Invalid kwenye Ajira Portal?

NDUKI

JF-Expert Member
Jan 19, 2013
3,423
2,414
Screenshot_20200111-203853.png

Screenshot_20200111-204215.png
 
Ukiwa unajaza toa hizo alama za dash (-) ndio itakubali.
Weka namba kama namba bila dash (-) pia kuna vijiswali utaulizwa ili kuhakiki umiliki wako halali wa hiyo namba.
 
Habari za MWANANYAMALA?😁😀

Daaaaah wee jamaa bwana acha ukorofi aisee...! 😂😂😂

Nilishahama kiongozi nna muda kiasi nipo Tabata now. Mkuu wameniuliza maswali wanataka namba ya simu wakati nasajiliwa kama siikumbuki inakuwaje...?

Na hizo x nyekundu hapo zinamaanisha nini aisee...?

Screenshot_20200111-210231.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom