Hii namba ni ya wapi wadau?

Hii namba ni ya wapi wadau?

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,533
Reaction score
3,837
Nimekuta missed call, baada ya kupiga hii namba imekuwa busy kwa takribani masaa matatu. Kila nikipiga inatumika, sasahiv haipatikani tena. Nimeangalia kwenye true caller haipo, nimegoogle sijaipata. Kwa ambaye atakuwa anaifahamu hii namba naomba aniambie ni ya wapi?

Namba yenyewe ni +578899637882

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuta missed call, baada ya kupiga hii namba imekuwa busy kwa takribani masaa matatu. Kila nikipiga inatumika, sasahiv haipatikani tena. Nimeangalia kwenye true caller haipo, nimegoogle sijaipata. Kwa ambaye atakuwa anaifahamu hii namba naomba aniambie ni ya wapi?

Namba yenyewe ni 0623 928 249

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Ya tz hapa hapa
Kama cjakosea ni hallotel
 
Wapi kivipi? Nchi ama?

Huo ni mtandao wa halotel
 
Nimekuta missed call, baada ya kupiga hii namba imekuwa busy kwa takribani masaa matatu. Kila nikipiga inatumika, sasahiv haipatikani tena. Nimeangalia kwenye true caller haipo, nimegoogle sijaipata. Kwa ambaye atakuwa anaifahamu hii namba naomba aniambie ni ya wapi?

Namba yenyewe ni 0623 928 249

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app

Itakuwa ni ya Rais wa Syria Assad labda alidhani anampigia Rais Trump ili kumuomba ' Po ' kusudi mambo yaishe.
 
Back
Top Bottom