GOSSO MZEKEZEKE
Senior Member
- Dec 13, 2013
- 185
- 213
Hizo namba hapo juu nimekuwa nikiziona kwenye admission za vyuo mbalimbali kama Index number. Naomba kuelimishwa ni namba za form four mpya au ikoje?
Nadhani hao ni Wanafunzi waliosoma nje na kufanyiwa equivalence na NECTAHizo namba hapo juu nimekuwa nikiziona kwenye admission za vyuo mbalimbali kama Index number. Naomba kuelimishwa ni namba za form four mpya au ikoje?