Wakuu nisaidieni, namba hii (+500200c691) imekua ikituma empty sms kwenye simu yangu mara tatu kwa siku tatu tofauti zisizofuatana. Kwa mwenye uelewa nayo msaada tafadhali.
namba ya majini hiyo.
Ccm ina wataalam sana wa mambo ayo, kina long water, mzinda kaya, shehe huseni na wqarithi wake etc. Wao ni wataalam sana wa namba.
kuna watu ni wapuuzi sijawahi ona. eti mtu anacomment kabisa kwamba ni majini,kweli kwenye jukwaa la tech unaleta mambo ya majini? nimesikitishwa. nways mkuu jjaribu ku angalia kama uliji subscribe kwenye hizi free sms jar applications or skype