Enzi za Mwinyi watu walisema serikali imeenda likizo. Kwa sasa mambo yanavyoenda TZ nahisi kuwa labda wakati wa Mkapa serikali ilitoka likizo ikaja kufanya kazi kwa miaka kumi bila kupumzika na sasa hivi wakati huu serikali ilionelea iende tena likizo kuanzia mwaka 2005.
Kwa hiyo wa TZ tusishangae mambo ya ajabu yanayoendelea hapa nchini bali tujue ni kuwa serikali iko tena likizo na hatujui ni lini likizo ya kipindi hiki itaishia kwa sababu serikali haijawahi kuwataarifu wananchi wake ni lini itaenda likizo na ni lini likizo inaisha.
Nawasilisha.