Hata ukiangalia mentality ya Gamondi alikuwa ana smile kwanzia anaingia uwanjani, ni kama mtu anayefurahia mpira ni kama show ya burudani kwake tofauti na kocha wa Simba aliyeonakana ni mwenye presha kubwaLeo yanga amecheza kikubwa mno, hakutumia nguvu nyingi, amerelax na kutumia nafasi vema