funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,649
- 21,523
Ni kweli watu tunapitia njia ya kigogoMkuu kweli ama? Maana naplan kutoka niende kimara
Ni kweli watu tunapitia njia ya kigogoMkuu kweli ama? Maana naplan kutoka niende kimara
Kama hiyo mvua inaua watu na kuharibu miundombinu, ina maana mungu anaileta iue watu ili viumbe wengine wapone au waishi?
Mfano mvua iliyonyesha hivi majuzi msumbiji na kuua watu zaidi ya 1000, je mungu aliileta iue watu ili viumbe wengine waishi?
Unatokea wapi kwani? Foleni kubwa ni kwenda mjiniMkuu kweli ama? Maana naplan kutoka niende kimara
Unatokea wapi kwani? Foleni kubwa ni kwenda mjini
Pitia njia ya kigogo inatembea kuelekea kimara. Ila kurudi kama hali hii itaendelea ni mtihaniKigambon
Oh! Wasalimie wote wawili 😜😜
Kila kitu kiwe na kiasi. Kama kitu kinaleta maafa na madhara makubwa hicho sio kitu kizuri. Hata biblia inasema kila kitu kiwe na kiasi.
Haiwezekani limvua linajinyeshea tu toka asubuhi hadi kesho asubuhi.
Moshi je!!! Mvua inanyesha usk kucha na mnaamka nayo.Hii mvua inayonyesha Dar sasa imezidi. Hizi ni sifa za kijinga.
Huko vijijini hainyeshi inatuletea shida hapa mjini.
Huwezi kutoka kwena mahala muda wote ni mvua tu.
Watu tumekosa hata muda wa kwenda kujipanga barabarani kuupokea mwili wa mzee wetu Mengi.
Ikanyeshe huko vijijini watu waivishe mazao. Hapa mjini mvua tumeichoka.
Hii mvua inayonyesha Dar sasa imezidi. Hizi ni sifa za kijinga.

Mkuu kuna mambo mengi ya kufanya nje ya kupiga mashine. Ntashinda siku nzima napiga tu mtu miti alafu natakula nini, si nitafia kifuani kwake?.
Duh Basi pole itabidi tuanzishe kamati tukuchangieNi kweli humu kila mtu ana gari, anamiliki mjengo, ana degree, ana kazi nzuri na pia ana mke mzuri, anapiga goli 5 na kila kitu kiko poa isipokua mimi tu.