Hii move iko well calculate

Mkuu hii ni topic ipi ya hesabu? Maana sielewi... pamoja na kuigeuza gauze msaada wa code plz
 
Tuliotoka bila kuambulia chochote kwenye hii code, kikao ni baada ya October 30.
 
Mkuu hii ni topic ipi ya hesabu? Maana sielewi... pamoja na kuigeuza gauze msaada wa code plz
CODE IS NOT MATH.
10 = END OF CYCLE.
AUG 8: TRIGGER.
OCT 10: SHIFT POINT.
KARMA: INATAKA KULIPA.

HATA UKIIGEUZA CODE HAIBADILIKI — DAMU ITACHURUZIKA TU.
 
3+5 = 8

4+6=10

3+7=10


8+10+10=28~2+8=10

Changes zitaanza mwezi 8

Wote watakuwa hawapo kwenye mamlaka by end of October=10

Karma!.
According to who?..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…