28-2+8 = 10 ❌3+5 = 8
4+6=10
3+7=10
8+10+10=28~2+8=10
Changes zitaanza mwezi 8
Wote watakuwa hawapo kwenye mamlaka by end of October=10
Karma!.
Kwa niaba yangu pia.
naamHakika! Hatuelewi watufafanulie ni vizuri tuelewe wote
Mkuu kuna tofauti kubwa kati ya "~" na "-", ikibidi futa ulicho andika.28-2+8 = 10 ❌
28-2+8 = 34✅
Kila kitu ni mpito.Wewe na mimi tutapita3+5 = 8
4+6=10
3+7=10
8+10+10=28~2+8=10
Changes zitaanza mwezi 8
Wote watakuwa hawapo kwenye mamlaka by end of October=10
Karma!.
Mkuu kuna tofauti kati ya Codes, facts and fictious.Mkuu kuna tofauti kubwa kati ya "~" na "-", ikibidi futa ulicho andika.
We jamaa nishaanza kukuogopa3+5 = 8
4+6=10
3+7=10
8+10+10=28~2+8=10
Changes zitaanza mwezi 8
Wote watakuwa hawapo kwenye mamlaka by end of October=10
Karma!.
mkuu iwe kheri lakini pia msimsahau Lissu atolewe huko jela na lile zuio la Chadema na viongozi wake kutofanya siasa lifutwe..itakuwa raha sana kufanya hizo changes tukiwa wamoja kama taifa watu wasiwe na vinyongo nafsini bali iwe furaha na upendo kwa wote hasa kwa waliopaza sauti juu ya changes kufanyika wafanyiwe utu na huruma..tuondoe chuki kwanza tufurahi changes pamoja.Well calculated
🤣 🤣 🤣 🤣Amina
Awamu za uongozi!!kuanzia ya tatu Hadi ya saba!Hata mimi najiuliza, namba zina maana gani?