Hii Morogoro hawa wanawake kila Lodge wanafanya nini?

TAXI42

Member
Joined
Jan 13, 2023
Posts
22
Reaction score
37
Hii Morogoro hawa wanawake kila Lodge wanafanya nini?

Jana nipo Moro nilivyofika Alfajiri nikaanza kuzunguka, kumbuka nimefika Asubuhi. Nikaanza kuzunguka kutafuta sehem ya kupumzika. Kila Lodge ninayoingia nakaribishwa na wasichana wa 3 wawili wamekaa kwenye sofa. Nikasema huu ni ukarimu wa kiasi gani.

Kuna wengine umri umeenda tena hao nahisi wanakuwa na Sangoma kabisa humo ndani ana chumba chake.
Basi tupokelewe na ambao hawajatumika lakini wengi wao unaona wametumika sana.

Yote kwa yote ASANTENI SANA Kwa Ukarimu wenu.

Staki kushiriki dhambi ambayo wakati nachomwa nitaona nimeonewa Ugonge kisiki lakini kiwe cha Dhahabu lakini hawa hapana.
 
Naam, kama umeamua kula haram basi ule iliyonona.
 
Sangoma. Ulimaanisha mganga au ngoma?
 
Back
Top Bottom