Hii mitandao kama 'Tinder' na 'Badoo' inaweza kutumika bila malipo? Maana siwezi hata kutuma meseji

Scenario yako ipo kama yangu.
Huyo wa kwangu nadhani ameshahifuta kule kwa sababu alikuwa mgeni kule tinder pia akitafuta marafiki. Na demu ana mpunga mrefu ni balaa
Scenario zenu ni kama wengi tu niliowaona wanapakua Tantan. Mwanzoni ilionekana kama app ya kuchat wakaanza kushangaa mbona wanatongozwa tu afu wanachat na wanaume pekee.
Na kuna mmoja alikuwa na sikumbuki Badoo au Tinder hajui kama ni dating app akaweka picha yake halisi. Kuna uzi humu niliona wanamtaja manzi mmoja napishana nae cafeteria na picha waloweka ni location flani pale nikapakua app kuhakikisha ni yeye. Kwanza naishi karibu yake ile kutafuta nearby alikuwepo karibu zaidi
 
Duh hatari hawa ndo wale Malaya wasafi ukikutana nae unaweza zani umekutana na wife materiall
Yani nilichokiona tinder na exortic, nikagundua unaweza kuwa na mtu wako we wadhani katulia kumbe wenzako wanamla huko kwa kumlipa. Mabinti wengi tena wazuri ambao ukikutana nao katika maisha ya kawaida hata kuwatongoza unajishauri wanajiuza cheap huko.
 
Scenario yako ipo kama yangu.
Huyo wa kwangu nadhani ameshahifuta kule kwa sababu alikuwa mgeni kule tinder pia akitafuta marafiki. Na demu ana mpunga mrefu ni balaa
Mkuu,
Wadada wa aina hii wako wachache sana..yani hata chats zake tuu zinajionyesha..ila wengi waliopo kwenye hizo site ni wauzaji
 
Yani nilichokiona tinder na exortic, nikagundua unaweza kuwa na mtu wako we wadhani katulia kumbe wenzako wanamla huko kwa kumlipa. Mabinti wengi tena wazuri ambao ukikutana nao katika maisha ya kawaida hata kuwatongoza unajishauri wanajiuza cheap huko.
Hakuna mwanamke mgumu mbele ya hela.
 
Back
Top Bottom