HII MIMI NAONA TUIITE KATA GOTI...Ya ukweli!!!

HII MIMI NAONA TUIITE KATA GOTI...Ya ukweli!!!

Chademondus

Senior Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
177
Reaction score
39
Ua mnaonaje wakuu,wazo hili kwa khali hii ya picha hii,Je inafaa kuitwa hivyo???Nawakilisha.
 

Attachments

  • 553096_276218042512533_513540236_n.jpg
    553096_276218042512533_513540236_n.jpg
    40.5 KB · Views: 671
Fimbo inachapaa, fimboo chapa. Onyenyenye hatutaki nyenyenye, ukileta nyenyenye
Fimboo chapa x 2
 
Jamani, hivi Mzee Kifimbocheza alishafariki dunia au bado yuko hai? Watu Kama hawa ndo ilikuwa saizi yake.
 
Wakati mwingine huwa wanaona ni ujanja kumbe wenye akili timamu tunaona ni ujinga na mwanzo wa wendawazimu
 
Usijali! Ntakutafuta na kukupa maziwa ya kopo! Lactogen itakufaa wewe!
Tatizo la maziwa ya kopo yananipa mabaka mabaka dizaini ya mkanda wa jeshi. Mimi kama kunywa maziwa ni ya binadamu tu si vingine. Natanguliza shukrani kwa kuonyesha ukarimu wako kwangu.
 
Back
Top Bottom