Narudia kukaziaNakazia
Mkuu hata hawa waarabu koko wa bongo unaona wanafanana akili na sie ngozi nyeusi??Hivi kwanini waarabu wameweza kusimamia resource zao za mafuta na zinewatajirisha sisi waafrika tuna madini,gesi,mafuta lakini tunashindwa?
Chuo kina changia. Kama ilivyo mobpsychology kwa vijana.Ni maoni yako, anbayo sidhani kama yana ukweli wowote.
Yaani mtu uende chuo na miaka 19 umalize na miaka 22, ukae chuo miaka mitatu halafu eti useme tabia yako ya wizi imetokana na chuo ulichosoma?
How? Tuwe specific na realistic.... Nachokiona hapa ni mihemko.Chuo kina changia. Kama ilivyo mobpsychology kwa vijana.
Kwa hili niwatetee UDSM Alumnus, wapo waliosimamia taaluma na maadili kama akina Assad ila mwisho wa siku walifukuzwa. Nchi yetu siasa ndio machinery ya kuendesha nchi na sio taaluma. Ukijifanya una misimamo yako na elimu yako utaishia kuwa Junior servant huko maofisini na wakikuonea huruma sana utapelekwa huko vyuoni ukafundishe. Hii nchi wewe ukitaka kula nenda na tune ya kusifia tu wala usikosoe. Hapo utapata teuzi kwenye bodi za mashirika, utapata teuzi za ukatibu na ukurugenzi n.kNi maoni yako, anbayo sidhani kama yana ukweli wowote.
Yaani mtu uende chuo na miaka 19 umalize na miaka 22, ukae chuo miaka mitatu halafu eti useme tabia yako ya wizi imetokana na chuo ulichosoma?
Hata mimi namshangaa mtoa mada kulaumu UDSM akati anajua wanao run show ni wanasiasa.Kwa hili niwatetee UDSM Alumnus, wapo waliosimamia taaluma na maadili kama akina Assad ila mwisho wa siku walifukuzwa. Nchi yetu siasa ndio machinery ya kuendesha nchi na sio taaluma. Ukijifanya una misimamo yako na elimu yako utaishia kuwa Junior servant huko maofisini na wakikuonea huruma sana utapelekwa huko vyuoni ukafundishe. Hii nchi wewe ukitaka kula nenda na tune ya kusifia tu wala usikosoe. Hapo utapata teuzi kwenye bodi za mashirika, utapata teuzi za ukatibu na ukurugenzi n.k
Mwisho wa siku hao wasomi wanaamua kuwa watumwa tu wa wanasiasa ila mkono uende kinywani (njaa haina baunsa) huku kijikikundi kidogo cha elites wakiitafuna nchi kwa kadri wanavyoona kipi kianze kuliwa na kipi kifate. Baada ya kuuza kila kitu chetu kilicho chini ya ardhi sasa tumehamia kuuza vilivyo juu. Kazi ipo!!