Hii michezo ya wabunge jijini Dodoma

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
12,231
Reaction score
28,954
Wabunge wameshindana kukimbia wakiwa kwenye magunia

Kuwanywa soda haraka

Kukimbia na buble kwenye kijiko kikiwa mdomoni

Kula wali nyama haraka

Kukimbiza [emoji215]

Kuvuta kamba

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii picha ya mwisho ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Tuache Wivu na husda, Michezo hiyo imekuwepo tangu enzi na enzi kipi kigeni. Na hapo Waheshimiwa Wabunge wanafanya maandalizi ya Michezo ya Mabunge ya Afrika Mashariki yanayitarajiwa kuanza hivi karibuni. So huenda pia ukaenda Kenya, Uganda nk wanafanya mazoezi pia. Lkn kwakuwa Watanzania kuongea na kukashfu na majungu tunapenda ndio maaana majirani wanatuita MAKASUKU basi kila jambo lazima tubwabwaje!
 

Wanasaka milion 14 za wiki mbili kwenda kwenye michezo

Acha wapambane kuamka asubuh na kwenda jamhuri
 
Ni nani aliekashfu hayo mazoezi? Mleta mada ameleta tu taarifa wala hajasema chochote zaidi ya kusimulia matukio yaliyotokea.

Wewe ndio una tatizo.
 

Helaaaaaaa Boss Helaaaaa Milion 14 wiki mbili si mchezo

Ingekuwa wanaenda kucheza bure au kwa gharama zao then hakuna mtu angepiga kelele
 
Helaaaaaaa Boss Helaaaaa Milion 14 wiki mbili si mchezo

Ingekuwa wanaenda kucheza bure au kwa gharama zao then hakuna mtu angepiga kelele
Kachukue jimbo nawewe upate pessa, huo ndio wivu na uchawi wenyewe ninaosema sasa.
Ipo michezo ya Majeshi.
Ipo Michezo ya Sekondari.
Michezo ya watumishi nk nk.
Mbona nao wanalipwa na hamlalamiki??
 
Wanarusha channel gani, niwe namshabikia yule dada mbunge wa viti maalum Bukoba
 
Kachukue jimbo nawewe upate pessa, huo ndio wivu na uchawi wenyewe ninaosema sasa.
Ipo michezo ya Majeshi.
Ipo Michezo ya Sekondari.
Michezo ya watumishi nk nk.
Mbona nao wanalipwa na hamlalamiki??

Kaka sio milion 14 Kwa wiki mbili bwana

Hata kama ww ni Mbunge ila hili sio Jambo la kutetea

Tena mlitakiwa kukaa kimya kabisa,


Wiki mbili milion 14 kwenda kufukuza kuku?
 
Haina maana kama hawafanyi kazi iliyowapeleka bungeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ