Hii michezo imeanza zamani kumbe

Muulize utajua kwa Nini wasukuma tinachekwa japo vijiji vyetu havina hali mbaya kama ya wanaotucheka pamoja na unyama tukio fanyiwa kwa kivuli cha uzalendo
kumbe kuna story behind! sijawahi kujua sio siri duhh.. asante kunifumbua macho dada'ake!
 
Nyerere pamoja na baadhi ya mazuri yake lakini tupo hapa tulipo kama taifa kwasababu ya baadhi ya maamuzi mabaya na ya kukurupuka ya Baba wa Taifa Julius Nyerere, Kuanzia Muungano mpaka Katiba
 
Hata kizazi kijacho kitashangaa nxhi yenye wasomi na watu wenye uelewa, mtangaza nia anapitishwa kwa "Azimio', na kwenye uchaguzi anapata 98% ya kura mil 32
 
Umri wako tu.

Na ndio maana Sasa kuletwa kwa somo la history na maadili huko shuleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…