Hii michepuko hatari

Hii michepuko hatari

platozoom

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
9,548
Reaction score
11,517
Nipo hapa moja ya pub maarufu barabara ya Sam Nujoma. Jamaa mmoja yupo na mchepuko na rafiki wa mchepuko.

Mchepuko ukaanza kumponda wife wa jamaa. Mara ya kwanza jamaa akaona poa tu pengine kw sababu yupo tingas, lakini kashfa zilivyozidi jamaa kakasirika na kuamua kuinuka.

Mchepuko na shosti wake wamembembeleza jamaa lakini katia ngumu na kuondoka!!

Nimemsifu.
Baki njia kuu!!
 
Safi sana...hawajui kuwa tunawapenda wake zetu
 
Sana tu hawajui kama tunawapa msaada then wanamtukana waziri mkuu!
 
Jamaa yuko sawa....huwa nachukia sana kukuta jamaa liko na mchepuko halafu mke wake anapondwa kinoma huku lenyewe linakenuakenua tu meno
 
Huyo ni mwanaume halisi, mwanaume lazima uwe na msimamo na kujali,
 
wakati mwingine tunakuwa na michepuko lakini roho zinauma kuwasaliti wake zetu..
 
Yaani nimemsifu jamaa. Mchepuko ali take advantage ya ulevi wa jamaa na namna walivyokuwa wanakiss kila wakati.

Namna jamaa alivyochange ghafla nimemsifu
 
Jamaa yuko sawa....huwa nachukia sana kukuta jamaa liko na mchepuko halafu mke wake anapondwa kinoma huku lenyewe linakenuakenua tu meno

Kweli hata mimi mwanzoni sikufurahia namna yao ya maongezi (offcourse nilikuwa nasikia cleary). Lakinibaada ya maamuzi nimevua kofia.
 
Hahahaaa mwambie jamaa aje hapa samaki samaki, nina neno nae. Michepuko na wajue kuwa siyo kwamba tunachepuka sababu hatuzipendi njia kuu, la hasha, bali tunatafuta sababu za kubaki njia kuu.

Trust me, jamaa atachukua muda sana kuchepuka.
 
Word. Samaki samaki hatari kuna watoto, angalia mkuu usije kuchepuka. Usiulize nipo wapi!!!
 
Wametuzalia watoto na kutunza familia home halafu jitu ambalo unaosha rungu tu lianze kumponda...shenz.y
 
Mi nilidhani mtu katandikwa makofi...kumbe kanyanyuka tu...
Ukute aliishiwa salio katafuta sababu
 
Duh aisee hii michepuko hatari hajui kumponda wife wa jamaa ni kumponda jamaa maana ndio alimchagua
 
Back
Top Bottom