GE2025 Hii Media coverage anayofanyiwa Makonda, nyama choma, kubandika mabango na hizi kofia kabla hata ya kampeni ni gharama ya nani? na return ni ipi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Wakuu kuanzia jana naona vyombo vingi vya habari vilianza kurusha kuwa Paul Makonda atachukua fomu kesho (ambayo ndiyo leo) ikatangazwa uwepo wa nyama choma nk.

Leo siku ya tukio 26 Aug, 2025) ameenda kuchukua fomu akifuatana na nyomi ya watu ikiwa na ngu za chama lakini kubwa zaidi zikiwa na jina lake. Vyombo vya habari vimeendelea kupaza sauti na kelele kwa wingi kiasi kwamba ukiingia mitandaoni leo haswa Instagram kwa kiasi kikubwa ametamalaki yeye tu.

Nilichokuwa najiuliza

A) Anataka kuonesha nini? Je kuna mtu ana kisasi naye kwahiyo anamtambia ama?
B) Gharama anazotumia ni kutoka wapi? Je ni mfukoni mwake?
C) Na kama ni mfukoni mwake anategemea return gani? Kwamba ubunge ni biashara kubwa kiasi hiki?

===
Nyama choma

Kofia zenye jina lake
Mabango
 
Pesa za mafisadi hizo
 
Na hizi media, habari za kina Pole Pole wanaziruka kama hawazijui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…