Hii mechi sijui mwisho wake ni lini! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii mechi sijui mwisho wake ni lini!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by white wizard, Aug 2, 2011.

 1. w

  white wizard JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  Katika sakata la madai ya walimu,na serikali sijui kweli litakuja kupata ufumbuzi!kwani kila mwaka nasikia leteni nyaraka za madai yenu,inapofikia kipindi cha chama cha walimu(cwt)kuanza maandalizi ya mgomo.Ina maana pale wanapotulia na serikali ina kula good tyme?ngoja tuangalie hizi salakasi tena.
   
Loading...