Unapata na sugarcane juice acha kabisa masopakyindi
Mkubwa mbona hayo mambo ndio ulevi wangu? Napita pale round about michenzani kuna jamaa anawatengeneza vizuri ana pilipili yake sijui anaweka malimau? (Hii itabidi nimuulize farkhina) Pembeni kuna juice ya miwa ni hatari.
Tatizo lake ni kukausha pesa mfukoni, yaani inachoma stick unaweka mdomo, unedlea tu, unaendelea tu, ukimwuliza sh ngapi unaambiwa 2,000/= ilhali hata kushiba hujashiba !!
we denti?
Naona hapo ni biashara ya pweza. Hizo ni swaga za watu wa pwani hizo. Sisi huku bara kwetu hayo makitu ni kichefuchefu tu!