Amini nawaambia ndugu zangu sasa nchi ndio ipo pabaya.
Watu wanathamini ndege kuliko maisha ya maskini.
we lizaboni pia ni mpuuzi thread zako ni za kimaandazi maandazi za lowasssa bavichaNi mpuuzi mwenzao atakayeamini upuuzi wao
yesu akiwa amerudi nchi hii chini ya mafisadi wa ccm hatuendi popotenow my question is simple!lini tulifikia pazuri?
Ila huyo sio LIZABONI hebu angalia tena ID yake!we lizaboni pia ni mpuuzi thread zako ni za kimaandazi maandazi za lowasssa bavicha
lakini thread kama zile za kumpinga makonda kuzuia biashara zisifanyike kila jumamosi mpaka saa 4 asubuhi huji!!!!!!!
hasaa ni yeyeIla huyo sio LIZABONI hebu angalia tena ID yake!
Nchi hii kwa sasa ipo pabaya kuliko ilipowahi kuwa. Jumlisha na LUGUMI na kuhonga wabunge.Habari wakuu!
Bila shaka kila MTU amekuwa akisikia lugha hii ya kwamba nchi yetu ilikuwa imefika pabaya. miongoni mwa watu wanaopenda kuongea hivi yumo pia Rais wetu na viongozi mbalimbali.
Cha kushangaza na cha kujiuliza ni watu gani hao walioifikisha nchi yetu kwenye hali mbaya? wako wapi, nchini, nje ya nchi, au wamekwishafariki?
Nasema lugha hii inakera na ni ya kejeli kwa sababu wanaotumia lugha hiyo ndio kikosi kile kile kilichokuwa serikalini, kilichobadilika ni kubadilishana nyadhifa lakini bado ni wale wale.
ndio maana Leo utasikia nchi ilikuwa imefika pabaya lakini kesho utamsikia huyohuyo kuwa atawalinda wale walioifikisha nchi pabaya.
ccm tuache usanii