Hii logic imekaaje kuhusu siku sahihi ya ibada?

Hii logic imekaaje kuhusu siku sahihi ya ibada?

Huku wayahudi siku ya jumamosi hawaganyi kazi kabisa hata ku operate kitu chochote
Mpaka pedestrian crossings wanakuwepo traffic warden wanaobonyeza ili wapite yaani hawagusi tu
Kweli wazungu wanaheshima sana imagine na nyumbani watu waseme mtuvushe barabarani [emoji23][emoji23]
 
Hivi si Yesu alisema hakuja kuitengua torati bali kuitimiliza..na kuna mahali alisema yeye ni nwana wa sabato..na pia alisema amekuja kitimiza maagizo ya Baba..

Halafu kwani wayahudi waliamini Mungu yupi na Yesu alitumwa na Mungu yupi?

#MaendeleoHayanaChama
kwahiyo torati ndio sabato? kwa uelewa wako.
 
Wayahudi ni wa kale, wanasimamia agano la kale, Wakristo ni wa Yesu Kristo. Yesu Kristo alikuja duniani na kukuta wayahudi na sheria zao za kuabudu jumamosi yani muendelezo wa ya kale,

Yesu Kristo yeye akatengua ya kale yakawa mapya, likazaliwa agano jipya chini ya muongozo na sheria za Yesu Kristo na sio za uyahudi.

Wakristo wanafata ya Yesu hawafati ya wayahudi maana myahudi ni binadamu kama binadamu mwingine na ndie aliyemsulubisha Yesu na mpaka leo hii kuna wayahudi wanaamini Yesu hakuwahi kuja bado wanamsubiri.
Hakutengua torati,Bali aliikamilisha
 
hakuna siku ambayo ukisali itakufanya uone pepo, kuanzia jumamosi hadi ijumaa ni namba tu.

salini muda na wakati wote.
 
Wayahudi ni wa kale, wanasimamia agano la kale, Wakristo ni wa Yesu Kristo. Yesu Kristo alikuja duniani na kukuta wayahudi na sheria zao za kuabudu jumamosi yani muendelezo wa ya kale,

Yesu Kristo yeye akatengua ya kale yakawa mapya, likazaliwa agano jipya chini ya muongozo na sheria za Yesu Kristo na sio za uyahudi.

Wakristo wanafata ya Yesu hawafati ya wayahudi maana myahudi ni binadamu kama binadamu mwingine na ndie aliyemsulubisha Yesu na mpaka leo hii kuna wayahudi wanaamini Yesu hakuwahi kuja bado wanamsubiri.
Kama wakristo hawafuati agano la kale mbona wanashika amri tisa za Mungu zilizotolewa na Mungu kwa Wayahudi kwenye mlima Sinai? Mbona mtu akivunja hizo amri wanampa karipio na kumtenga? Kwa nini amri tisa tu ziwe halali ila moja tu iwe haramu kwao, yaani ya kusali Jumamosi. Wangeacha kuzishika amri zote wangeeleweka.
 
kwahiyo torati ndio sabato? kwa uelewa wako.
Wewe umeamua kukaidi tu..na hata nikikuelewesha utakuja na hoja za kupinga..kiufupi torati iliandikwa na musa amri kumi zikiwemo na ndio msingi wa torati.

Ambapo ndani ya amri kumi amri ya kutunza sabato ipo.

Hutaki acha ila ndio ukweli.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nahisi Jumapili ilikuwa siku ya kuabudu Jua, hivyo anaesali Jumapili anaabudu Jua. Huenda Mungu ni Jua. Observe! Sunday = Sunny day, it means the day of the sun.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanadanganywa eti wayahudi walimkataa yesu....

Yesu alikataliwa na viongozi wa dini ya kiyahudi ambao walikuwa ni walafi wa madaraka na sio wayahudi wa Imani na wapenda haki

Yesu alikuwa na wafuasi wengi ndani Samaria na uyudani ambao walijitolea kumfata kwa njaa na kiu mpaka watawala na viongozi wa dini walichukizwa na umaarufu wake na wakaingiwa na hofu kwa umaarufu wake.

Tukirudi kwenye kwenye hoja yako ya kwamba kwa Nini wakiristo wengi wanasali siku ya jumapili?

Hoja yao ni kwamba wanasali siku ambayo yesu alifufuka ambayo ni siku ya kwanza ya juma.
Screenshot_20220313-002720.jpg
 
Wakristo ni wafuasi wa Yesu.Luka 4:16(Akaenda Nazareti pale alipolelewa na Siku ya Sabato akaingia kwenye Sinagogi kama ilivyokuwa desturi yake......)Nadhani umepata jibu,Mungu na akutangulie na wote wasomao.
 
Back
Top Bottom