Hii Lazima Ucheke Hata Kama Umenuna!!!??

TEKNOLOJIA

JF-Expert Member
Jan 6, 2014
4,305
2,562
Jamaa alikuwa anafua nguo zake,alipomaliza akaenda kupumzika kitandani.Na hadithi yangu imeishia hapo.
 
Alikuwa anafulia wapi? Bafuni, chooni, jikoni au kwenye karo? Kutumia nini mikono au mashine? Kwenye nini, nyumba ya kupanga au anamiliki mwenye?
 
pumbavu sana wewe nimeacha kwenda kunya nafungua thread kwanza kumbe unaandika ushuzi
ila nimecheka aisee kama ulivyoahidi
teh ! teh! teh!
 
Back
Top Bottom