Mkuu hata mi najua nitanzania ila naomba kujua jimbo maana wasije usije ukakuta ni jimbo la washangiliaji kama ccm na chadema wanavyo washanilia viongozi waoNi Tanzania hapo
Mkuu maji ni jukumu la wananchi na selikari kama wananchi hawezi kuchangamka katika maendeleo hata selikari haiwezi kukuonaInawezekana maji siyo muhimu wala kipau mbele
Mkuu kama ni huko ni kawaida maana maisha yao na asili yao ni ukameJimbo mojawapo huko makao makuu ya chama
faiza foxy uko wapi bibi. kwanini 'selikari' hauioni?Mkuu maji ni jukumu la wananchi na selikari kama wananchi hawezi kuchangamka katika maendeleo hata selikari haiwezi kukuona
Viwonder Tz ... uvumilivu na uzalendo wa raia wake... . Afu wengine maisha hayo huona kwa tv... tusidanganyane uzalendo. Kwa utofauti huo wa masrahi...