Tby
Member
- Nov 29, 2011
- 53
- 3
Nina rafiki yangu wa kike tunapendana!
Alikuja kwangu, tukaongea mambo mengi na tukafanya ya faragha pia.
Baada ya hapo mdada analazimisha nipumzike yaani nilale usingizi.. Nikamwambia mwenzio hata nifanye kazi gani siwezi kulala mchana wala jioni, kulala kwangu saa tano au sita usiku.
Anadai kama sitolala muda ule haji tena kwangu!!