siwezi kulala mwenzio. Nauliza tu hii ipoje?
Nina rafiki yangu wa kike tunapendana!
Alikuja kwangu, tukaongea mambo mengi na tukafanya ya faragha pia.
Baada ya hapo mdada analazimisha nipumzike yaani nilale usingizi.. Nikamwambia mwenzio hata nifanye kazi gani siwezi kulala mchana wala jioni, kulala kwangu saa tano au sita usiku.
Anadai kama sitolala muda ule haji tena kwangu!!
after faragha anataka nilale i think anarelate na somewhere kuwa ukitoka faragha lazima ulale.
Kuna vitu kaagizwa na sangoma akufanyie. Mtimue aende zake ndio uchape usingizi wako
Nina rafiki yangu wa kike tunapendana!
Alikuja kwangu, tukaongea mambo mengi na tukafanya ya faragha pia.
Baada ya hapo mdada analazimisha nipumzike yaani nilale usingizi.. Nikamwambia mwenzio hata nifanye kazi gani siwezi kulala mchana wala jioni, kulala kwangu saa tano au sita usiku.
Anadai kama sitolala muda ule haji tena kwangu!!
Hahahaaaa, labda uliperform chini ya kiwango, kwa hiyo alitaka upumzike ukiamke utoe dozi ya uhakika.....who knows!!!!?