Hii kwawale wanandoa tu.

Hii kwawale wanandoa tu.

amri ngisi

Member
Joined
Jan 30, 2017
Posts
46
Reaction score
21
Ukimuona mkeo anakuambia mumewangu nakuomba unijengee Nyumba mumewangu. Wakati mupokenye mapenzi moto moto juwauyo yupo kwenyendoa kwamalengoyake maalumu yani kuwamakininae yani muda wowote lazima akutelekeze[emoji125][emoji125]
 
Huo uandishi wako noma! ngoja waje wenzako kwanza huenda mkaelewana.
Ukimuona mkeo anakuambia mumewangu nakuomba unijengee Nyumba mumewangu. Wakati mupokenye mapenzi moto moto juwauyo yupo kwenyendoa kwamalengoyake maalumu yani kuwamakininae yani muda wowote lazima akutelekeze[emoji125][emoji125]
 
Nenda memukwa kwanza ujue kuandika kama sisi harafu ndo ujue kuja hapa na hoja zako zisizoeleweka sawa eee mtoto mzuri.
 
Ukimuona mkeo anakuambia mumewangu nakuomba unijengee Nyumba mumewangu. Wakati mupokenye mapenzi moto moto juwauyo yupo kwenyendoa kwamalengoyake maalumu yani kuwamakininae yani muda wowote lazima akutelekeze[emoji125][emoji125]
Pole sana mkuu ebu funguka kwani ilikuwaje
 
Amri ngisi umeandika huku unachapwa viboko nn??
 
Ukimuona mkeo anakuambia mumewangu nakuomba unijengee Nyumba mumewangu. Wakati mupokenye mapenzi moto moto juwauyo yupo kwenyendoa kwamalengoyake maalumu yani kuwamakininae yani muda wowote lazima akutelekeze[emoji125][emoji125]
Umetudhalilisha tulioko kwenye ndoa maana kwa uandishi wako unafaa uwe mkuu wa mkoa.
 
Ukimuona mkeo anakuambia mumewangu nakuomba unijengee Nyumba mumewangu. Wakati mupokenye mapenzi moto moto juwauyo yupo kwenyendoa kwamalengoyake maalumu yani kuwamakininae yani muda wowote lazima akutelekeze[emoji125][emoji125]
Mada nzuri....sema ungeanza kuandika kweny daftari la mwandiko...halaf ndo uilete hapa
 
Ukimuona mkeo anakuambia mumewangu nakuomba unijengee Nyumba mumewangu. Wakati mupokenye mapenzi moto moto juwauyo yupo kwenyendoa kwamalengoyake maalumu yani kuwamakininae yani muda wowote lazima akutelekeze[emoji125][emoji125]
Hahahahah,hatari
 
Si kwenye ndoa hata uchumba. Hatukatai kuwa na malengo. Lakin mwanamke akianza kuweka malengo ambayo ni nje ya uwezo wako wkt huo nyumba , gari, vito vya dhamani.. hapo sasa kuwa makin nae. Akivikosa atachepuka au kwenda kwa mwingine
 
Ukimuona mkeo anakuambia mumewangu nakuomba unijengee Nyumba mumewangu. Wakati mupokenye mapenzi moto moto juwauyo yupo kwenyendoa kwamalengoyake maalumu yani kuwamakininae yani muda wowote lazima akutelekeze[emoji125][emoji125]
Mbona mwandiko wako mbaya namna hii hausomeki
 
Back
Top Bottom