Hii kodi ni kiboko haswa!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii kodi ni kiboko haswa!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by oba, Jun 20, 2011.

 1. oba

  oba JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 307
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Gross income ya mshahara wangu kwa mwaka ni 9200000.00 bila makato ya NSSF, BIMA, kurejesha mkopo wa elimu ya juu n.k; kodi yangu kwa mwezi nakatwa 115,000.00 jumla 1380000.00. Mfanyabiashara mweny kipato cha mil 5 hadi 9( yaani faida) makadirio ya kodi yake kwa mwaka ni 90000.00( labda kama imebadilika hivi majuzi). Kutokana na mahesabu hayo naona sitendewi haki, nimeamua kuanzisha biashara, naacha kazi kwa jakaya.
   
 2. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  [table]
  [tr]
  [td="class: Xl65, width: 155"]gross pay[/td]
  [td="class: Xl66, width: 90"] 3,010,317.46
  [/td]
  [/tr]
  [tr]
  [td="class: Xl65"]nssf contr.[/td]
  [td="class: Xl66"] 301,031.75 [/td]
  [/tr]
  [tr]
  [td="class: Xl65"]taxable amount[/td]
  [td="class: Xl66"] 2,709,285.71 [/td]
  [/tr]
  [tr]
  [td="class: Xl65"]tax
  [/td]
  [td="class: Xl66"] 709,285.71
  [/td]
  [/tr]
  [tr]
  [td="class: Xl65"]net pay[/td]
  [td="class: Xl66"] 2,000,000.00
  [/td]
  [/tr]
  [tr]
  [td="class: Xl65"][/td]
  [td="class: Xl66"]
  [/td]
  [/tr]
  [/table]
   
 3. Mtumiabusara

  Mtumiabusara JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2011
  Joined: Nov 18, 2009
  Messages: 473
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Tatizo hawa TRA wanashindwa kubuni njia ya kukusanya kodi kutoka kwenye kila aina ya biashara. Wao wanahangaika na vinywaji, sigara na magari tu, biashara zingine sijui kama zinaeleweka.
   
 4. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  tra wanadhani paye ni kwa ajili ya wafanyakazi tu.
   
Loading...