BABU KIZEE
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 452
- 72
Wakuu naombeni ushauri mimi na mpenzi wangu tumekuwa na mahusiano kwa kipindi kirefu sana bila kuduu,mpenzi wangu yuko mwaka wa pili sasa ni mfanyakazi tayari ,imefika muda wa mimi kumjua vizuri kiundani yaani kuduu nae ila tumepanga tuwe tunatumia kinga ila kila nikivaa mzee analala ,hivi tatizo nini wakuu hapo.
Xperience yako hapo awali ikoje?.....au hujawai kuDo?

nimewahi fanya lakini bila kinga na tatizo kama ili huwa alitokei ila nikitumia majanga.
Babu vizee huwa hawasimamishi. kwahiyo hiyo ni hali ya kawaida kwako wala usijali. Labda kama ID umeongopa
MKUU BABU KIZEE
kama ulikuaga unapiga nyeto sana basi ujue hilo ndio tatzo na solution yake ni kua ANZA KUFANYA MAZOEZ YA MWILI HARAKA SANA kama vile kuruka kamba,kukimbia,e.t.c.....
kama hilo unaliona gumu,muulize demu wako anaogopa nini hadi anagoma kukupa kavu.?akikwambia ukimwi basi mwambie mkapime,akikwambia mimba basi mtumie njia ya kuhesabu siku ili usihangaike tena mkuu....