Hii kitu mnatumia?

Hii kitu mnatumia?

kwa vijana ambao wapo wapo sana, inabidi tutumie tuu hata kama ladha inapungua, bora ulinde maisha yako. si vizuri kumwamini mtu kama hamjapima hata kama uko nae kwa muda mrefu.

jaribu kurudisha mawazo nyuma, kote umetumia kondomu kikamilifu?
 
...Tena nimegundua mara nyingi sana linapokuja suala la kutumia condom wanawake huwa bendera fata upepo. Jamaa akisema ipo itumike anakubali, mwanaume akisema leo condom tuweke kando tule sterio demu anakuwa mpole tu...sijui tatizo nini??
 
Hazitumiki kabisa....wanaonishangaza ni kina dada zetu....hata akiwa decent ,msomi,beautiful ,mshauri nasaha etc...huwa wanapanua tu miguu wanaitafuta mashine wenyewe wanaichomeka tena kwa haraka sana.......karibu asilimia 90% wakishapagawa huwa hawaulizi mambo ya kondomu......hiyo ndiyo hali halisi....
 
agree
 
hahaaaaa, mkuu uko sawa kabisa!.
 
...Tena nimegundua mara nyingi sana linapokuja suala la kutumia condom wanawake huwa bendera fata upepo. Jamaa akisema ipo itumike anakubali, mwanaume akisema leo condom tuweke kando tule sterio demu anakuwa mpole tu...sijui tatizo nini??

SAFI!!!!!!!

Hujakosea kitu hapo nakubaliana nawe 100% na kuna wakati pembe la ng'ombe ikivarishwa tu ndoms ina lala ila ukigusisha mahali bila ndoms ina stand up very quickly.

porje, wewe uzoefu wako unasemaje mkuu?
ni kweli kabisa, hata mie nilikua natumia hii kitu, baada ya 'kuzoeana' na maiwaifu wangu ghafla kitu nikakipeleka bila nguo!
Kikakubaliwa bila kupingwa!!, hadi jana jioni hali ilikua hivyo hivyo!,
yu noo wat i miiiin??
 
oyah!
 
Mie huwa situmii ila mtinange naupaka mafuta ya nazi kibao inateleza tu
 
Amoeba kauliza swali zuri na thread mmeigeuza kama ni ya Kibunango vile🙁
 
SAFI!!!!!!!

Hujakosea kitu hapo nakubaliana nawe 100% na kuna wakati pembe la ng'ombe ikivarishwa tu ndoms ina lala ila ukigusisha mahali bila ndoms ina stand up very quickly.

HAHAHAH HAAA HAHAA.....uko sahihi kabisa mkuu...nalo hili ni tatizo kubwa sana...wengi hawataki kuliongelea...ila ukijichanganya na vijana katika stori utagundua ni tatizo la vijana wengi sana....mashine zina misbehave sana....Anyway akina DADA kama mpo humu mtusaidie kwa nini huwa mnachomeka tuu pamoja na usomi na udecent wenu??? serious natafuta jibu la uhakika!!!dah manake wengine jinsi wanavyoongea mambo ya maana na u-seriousness huwezi kuamini wanavyoachia wakati wa gemu!
 
duuuuuh mkuu kumbe una experience hiyo the same 2 me,hii ndio inasababisha watu wengi wasitumie condoms,inapunguza mshasha wa kufanya tendo
 
HAHAHAH HAAA HAHAA.....uko sahihi kabisa mkuu...nalo hili ni tatizo kubwa sana...wengi hawataki kuliongelea...ila ukijichanganya na vijana katika stori utagundua ni tatizo la vijana wengi sana....mashine zina misbehave sana....Anyway akina DADA kama mpo humu mtusaidie kwa nini huwa mnachomeka tuu pamoja na usomi na udecent wenu??? serious natafuta jibu la uhakika!!!dah manake wengine jinsi wanavyoongea mambo ya maana na u-seriousness huwezi kuamini wanavyoachia wakati wa gemu!

Ebwana mi karibu kila ninapopita mabinti ndo wa kwanza kusema hawa feel tukitumia kondom. Mwingine amefikia mahali anasema eti kondomu inamwumiza tumbo. Kila tukimaliza mchezo analalamika sana eti kondomu inamuumiza tumba mala inamletea vipele.

Lakini mi nimeshawastukia ma sistaduu wa kibongo kiaina hawafurahii kufanya tendo na kondomu kwa sababu ya flavour & joto kupungua ukivaa kondomu. Ndo maana ukimwi hauwezi kuisha Tanzania, kila demu unayetaka 'kumkanyaga' haonekani kujali whether condom will be used or not!!!

Inasikitisha sana!! Lakini mi hawatonipata, nakanyaga na kondomu mwaka wa 33 sasa!!
 
HAHAHAH HAAA HAHAA.....uko sahihi kabisa mkuu...nalo hili ni tatizo kubwa sana...wengi hawataki kuliongelea...ila ukijichanganya na vijana katika stori utagundua ni tatizo la vijana wengi sana....mashine zina misbehave sana....Anyway akina DADA kama mpo humu mtusaidie kwa nini huwa mnachomeka tuu pamoja na usomi na udecent wenu??? serious natafuta jibu la uhakika!!!dah manake wengine jinsi wanavyoongea mambo ya maana na u-seriousness huwezi kuamini wanavyoachia wakati wa gemu!
..Kuna demu mmoja yeye alidai kuwa hapendi condom na tatizo kuwa huwa ana-enjoy sana golden shower so yuko tayari kwa lolote!!! watu wamepinda kabisa....
 
Nadharia hii inawahusu wale ambao waswahili husema "wa mbili havai moja" yaani if your single partner hasn't satisfy you then to go out use protectons or else church yard the chooser is yourself, are you ready ?
 
Back
Top Bottom