Hii kitu mnatumia?

Ebwana mi karibu kila ninapopita mabinti ndo wa kwanza kusema hawa feel tukitumia kondom. Mwingine amefikia mahali anasema eti kondomu inamwumiza tumbo. Kila tukimaliza mchezo analalamika sana eti kondomu inamuumiza tumba mala inamletea vipele.

Lakini mi nimeshawastukia ma sistaduu wa kibongo kiaina hawafurahii kufanya tendo na kondomu kwa sababu ya flavour & joto kupungua ukivaa kondomu. Ndo maana ukimwi hauwezi kuisha Tanzania, kila demu unayetaka 'kumkanyaga' haonekani kujali whether condom will be used or not!!!

Inasikitisha sana!! Lakini mi hawatonipata, nakanyaga na kondomu mwaka wa 33 sasa!!

hapo kwenye red umesema kweli mzeei. lakini ni kweli mzee wewe unakamua na kondomu kikamilifu? hujawahi kuonja ishu live?
 
Back
Top Bottom