Ndulele (ndula, ndura etc) na ngogwe, (tunguja nyanya chungu , nyanya pole) Kunatafauti ya hivyo vitu, kwa asilimia kubwa ngogwe(tunguja,nyanya chungu, nyanya pole) zinaliwa hata mbichi. Nashukuru alieleta changamoto. Tungepata picha ya vyote ingekua murua.