Kaka usiache na mimi kuwa unanitag maana kuna kadada nimekafuata PM eti kananiuliza mbona unajuana na watu ambao inaonekana ni mashuhuri JF basi nikavimba nikaanza kumpanga kwa vyeo ila ni wewe nimekaambia ni waziri hapa bongo hivyo kunitaja kunanileta karibu na wachuchu .
Mrembo ukipita hapa jua nilikupanga ,ila nimeamua kusema hili kwakuwa ulinikataa panya wewe