Hii kitu inanikera sana


ndoa yenye baraka ikoje na isiyo na baraka ikoje ukizingatia zawadi ikitolewa siku ya harus, nimbie hapo labda mi sijui


na najua maana ya ugomvi, kumprovoke mtu kwa kitu usichokijua au kuwa na hakika nacho ni ugomvi...plus nimegundua wewe una dharau, tabia ya dharau si nzur yapasa kuwaheshim wote ht km umejaliwa kipato kikubwa
mi binafs namshukuru Mungu kwa moyo huu na najua ni moja ya siri ya mafanikio yangu hata wakat nilipopataga kaz tena nzr sana nadhan ilikua moja ya kigezo..we endelea na tabia yako hata wanao watakua kama wew tu alaf unaanza kulalamika kwa nini hawafanikiw au hata wakifanikiwa amani hamna
 
Sijui hata nikuambiaje. Cha muhimu ni upate umiliki halali, kupewa Nyumba au Kiwanja sio zambi.

kwel naona ulinjooke ni point nzur sana umiliki ndo suala la kuzingatia, kama unapata umiliki ni baraka tu ila otherwise ngum sn
 
 

Mbutananga yamekuwa hayo :what:
 
Zawadi ya nyumba kwa mke toka kwa wazazi haina shida kabisa. Ukioa unakuwa mtoto wao pia. Halafu fikiri kama huna nyumba yako uko tayari kwenda kupanga na kuisusia zawadi eti kwa sababu kapewa mkeo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…