Hii kitu inanikera jamani

Hii kitu inanikera jamani

nina kiasi changu cha chakul anakula kama nimewekewa kingi aisee nikifikisha limit yangu naacha hata kama sijashiba....... ila hii nilikuja na na suluhuu nikiagiza chakula nasema kabia niwekewe kiasi fualani .... sasa kinakuja kidogo mtu hapo anaona naringa sijui kama kuna namna hapo.... kiswaenglish ni system yetu ya nchi imetuharibu mimi nachanganya na kichina kabisa
Niunge mkono miss chaga tukomboe jamii yetu
 
Mie huwa kwenye swala la maakuli sinaga kuremba asee nakula mpaka utanikimbia hahahahahaha
 
Hayo yote wewe yanakukera kivipi? Afanye mwingine na havikuhusu na ukereke? Unataka waishi kama utakavyo wewe?

Do that crunchy at your abode (nimechanganya kiingerezA-umekereka?)
 
Habari zenu wanajamii forum.Hope wazima kabisa
kuna hizi tabia hasa kwa wapenzi walio kwa mahusiano hasa hawa watoto kike japo hata wa kiume huwa wanafanya
1.Kuwa bize na simu watoto wa kie wanaongoza hasa na hizi TOUCH SCREEN kuanzia zimeingia yaani wako bize yuu bize na simu utadhani amezaliwa nayo.
2.Kuchanganya kiswahili na kiingereza jamani huu mtindio siupendi yaani mnaonekana mnaigiza kama mtu umeamua kuongea kiingereza ongea basi hicho hicho tu au kama kiswahili ongea tu kiswahili yaani dadaz wanapenda kuchanganya lugha mbili hasa wasichana wa hapa kilimanjaro ni moja ya mifano yaani kuna mdada mmoja hadi keroooooooooooooooo
3 kubakiza baadhi ya vyakula na vinywaji huu mtindo nao siupenzi utakuta mtu akiwa peke yake chumbani anaweza kunywa kreti zima la soda lakini ukitoka naye anabakiza soda robo tatu,jamani tuache maisha ya kuigiza
Mada hiyo meza ni na nyie ongezeeni mambo ambayo wanawakera kwenye relationship hata maisha ya kawaida .

Mkuu na wewe una changanya lugha....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom