Hii kitu Imeshaingia mjini hapa??

Mkuu hakuna simu kama hyo.hiyo ni concept tu.watu wametengeneza 3d rendering ya idea yao. lakini hakuna simu ya dizaini hyo iliyoko dukani kokote duniani


Hii ndo iphone 8 yenyewe
 
Mkuu hakuna simu kama hyo.hiyo ni concept tu.watu wametengeneza 3d rendering ya idea yao. lakini hakuna simu ya dizaini hyo iliyoko dukani kokote duniani


Hii ndo iphone 8 yenyewe
Si ndo hiyo hapo mkuu,,inawezekana ni concept ila ndo ipo tayar duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…