20PROFF JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 8,217 Reaction score 7,263 Jul 20, 2014 #1 Hili tukio lilitokea kweli? Attachments 1405880004505.jpg 18.9 KB · Views: 380
maroon7 JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 11,345 Reaction score 15,852 Jul 20, 2014 #2 Huo utakua moto-less
20PROFF JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 8,217 Reaction score 7,263 Jul 20, 2014 Thread starter #3 Patrickn said: Huo utakua moto-less Click to expand... Kaka kuna moto-less kweli
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Jul 20, 2014 #4 huo moto wa pamba...
20PROFF JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 8,217 Reaction score 7,263 Jul 20, 2014 Thread starter #5 kabanga said: huo moto wa pamba... Click to expand... Haunguzi??
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,090 Jul 21, 2014 #6 merengo90 said: Haunguzi?? Click to expand... Kuna mafuta unajipaka kwanza ni sawa na wale walao moto au kujipaka moto mwilini kila ukikosea kidogo tuu imekula kwako
merengo90 said: Haunguzi?? Click to expand... Kuna mafuta unajipaka kwanza ni sawa na wale walao moto au kujipaka moto mwilini kila ukikosea kidogo tuu imekula kwako
20PROFF JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 8,217 Reaction score 7,263 Jul 21, 2014 Thread starter #7 mshana jr said: Kuna mafuta unajipaka kwanza ni sawa na wale walao moto au kujipaka moto mwilini kila ukikosea kidogo tuu imekula kwako Click to expand... Ha ha so afande analeta janja Nilihisi kuna trick sababu sijawahi ona ukomavu kwenye moto
mshana jr said: Kuna mafuta unajipaka kwanza ni sawa na wale walao moto au kujipaka moto mwilini kila ukikosea kidogo tuu imekula kwako Click to expand... Ha ha so afande analeta janja Nilihisi kuna trick sababu sijawahi ona ukomavu kwenye moto
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,085 Reaction score 8,409 Jul 21, 2014 #8 mshana jr said: Kuna mafuta unajipaka kwanza ni sawa na wale walao moto au kujipaka moto mwilini kila ukikosea kidogo tuu imekula kwako Click to expand... Mmh hayo mafuta yanaitwaje?
mshana jr said: Kuna mafuta unajipaka kwanza ni sawa na wale walao moto au kujipaka moto mwilini kila ukikosea kidogo tuu imekula kwako Click to expand... Mmh hayo mafuta yanaitwaje?
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 Jul 21, 2014 #9 Hii nikweli, na mimi nilipita siku hyo