Hii kitu hii....

wakyagara wakinyora

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2013
Posts
735
Reaction score
288
mi siielewi kabisa hii kitu hii....manake imegombanisha mke na mme hii kitu hii,mashehe na mapadri wameasi sababu ya hii kitu hii....watu wanauana sababu ya hii kitu hii....inasumbua sana hii kitu hii.yaani kimsingi mi siielewi hii kitu hii
 
Kunywa Sumu ufariki ili uende ukawaulize Adamu na Hawa na wale wote waliofariki na ukimwi nini madhara ya kitu hii !
 
Ukiona jicho linakukosesha ling'oe maana ni heri kwenda mbinguni ukiwa huna macho kuliko kwenda motoni na macho yako mawili,ukiona mguu ndio unakufanya utende dhambi,ukate,maana ni heri kwenda mbinguni ukiwa kilema kuliko kwenda motoni na miguu yako miwili''.
Kipeleke hospitali kikwatwe hicho
 
Alisema "Nendeni mkazaliane na mkaijaze dunia" Mmmh! labda sijaelewa maana ya ndoa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…