jMali JF-Expert Member Joined Nov 9, 2010 Posts 8,412 Reaction score 5,013 Aug 28, 2015 #1 Dah, yani wazee wameacha kuangalia mkataba wanaangalia le mzigoz. MK254 unamuona mzee? :wink:
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Aug 28, 2015 #2 The lady is hoooooooot!!! Lol
MasterP. JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 8,263 Reaction score 6,828 Aug 29, 2015 #3 Museveni ndo kachanganyikiwa kabisa akili yake yote imehama
MK254 JF-Expert Member Joined May 11, 2013 Posts 33,575 Reaction score 53,613 Aug 29, 2015 #4 Hehehe!! kwa jinsi hilo toto lilivyo hata wewe ungedata tu. Kwa mwanaume asiyekua na haya mambo, basi ana aina ya kasoro. Umeona jinsi rais Mfaransa alivyojiachia hapo.
Hehehe!! kwa jinsi hilo toto lilivyo hata wewe ungedata tu. Kwa mwanaume asiyekua na haya mambo, basi ana aina ya kasoro. Umeona jinsi rais Mfaransa alivyojiachia hapo.
WayOut JF-Expert Member Joined Jun 18, 2015 Posts 752 Reaction score 173 Aug 29, 2015 #6 Hao ndio wana mpigia promo lowassa!
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Aug 29, 2015 #7 raisi kenyata yuko gado hapo
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,440 Reaction score 38,438 Aug 29, 2015 #8 Khatari kubwa
tamimusalim JF-Expert Member Joined Jun 17, 2014 Posts 1,822 Reaction score 501 Aug 29, 2015 #9 Acha ujinga ww mtoa uzi angalia vema kuna sura ya kimapenzi hapo? Wee si unaona wote uso wa mbuzi kasoro bwana mawani tu
Acha ujinga ww mtoa uzi angalia vema kuna sura ya kimapenzi hapo? Wee si unaona wote uso wa mbuzi kasoro bwana mawani tu
jMali JF-Expert Member Joined Nov 9, 2010 Posts 8,412 Reaction score 5,013 Aug 29, 2015 Thread starter #10 tamimusalim said: Acha ujinga ww mtoa uzi angalia vema kuna sura ya kimapenzi hapo? Wee si unaona wote uso wa mbuzi kasoro bwana mawani tu Click to expand... hata rais wako fidodido angeangalia tu!
tamimusalim said: Acha ujinga ww mtoa uzi angalia vema kuna sura ya kimapenzi hapo? Wee si unaona wote uso wa mbuzi kasoro bwana mawani tu Click to expand... hata rais wako fidodido angeangalia tu!
SHIEKA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 8,240 Reaction score 4,280 Aug 29, 2015 #11 jMali said: Dah, yani wazee wameacha kuangalia mkataba wanaangalia le mzigoz. MK254 unamuona mzee? :wink: Click to expand... Hiyo kitu kwa mwanaume haikwepeki! Hata mimi ningekuwepo macho yangu yangeelekea hukohuko maana huyo dada kwa kweli kajaaliwa!
jMali said: Dah, yani wazee wameacha kuangalia mkataba wanaangalia le mzigoz. MK254 unamuona mzee? :wink: Click to expand... Hiyo kitu kwa mwanaume haikwepeki! Hata mimi ningekuwepo macho yangu yangeelekea hukohuko maana huyo dada kwa kweli kajaaliwa!