Hii kitu haijaingia nchini bado!

Hii kitu haijaingia nchini bado!

Zinduna

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
2,377
Reaction score
3,394
erdinger-weissbier-_bg.jpg

Hata Erickb52, hajawahi kutana nayo hii
 
Last edited by a moderator:
Hakuna safari na konyagi......? Hivyo vya Ulaya sisi tunavipata wapi.......?
 
Jamani mbona mnatutamanisha! Wengine tumeamka na mning'inio!
 
Hapo Zinduna ushawaharibia watu fulani siku,maanake kwa kuona tu hizo picha nahisi wameshaanza kuiona hangover hiyoooooo,sijui kama kesho watu hawaendi na hangover kazini.Jamani angalizo vitu adimu kama hivyo viwe vinawekwa weekend vinginevyo mmmmmmhhhhhhh kazi ipo.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna safari na konyagi......? Hivyo vya Ulaya sisi tunavipata wapi.......?

Kuvipata hivyo mpaka viwe vimeshanyewa huko weeee vimechuja weeeeee,si kwetu ndo vinakuja kama vipyaaaaa.
 
Hakuna safari na konyagi......? Hivyo vya Ulaya sisi tunavipata wapi.......?

vitapatikana baada ya wao kuanzisha vipya.........BTW mambo wasiliana na Natalia anaweza kukutumia kimojawapo
 
Last edited by a moderator:
vitapatikana baada ya wao kuanzisha vipya.........BTW mambo wasiliana na Natalia anaweza kukutumia kimojawapo

Itabidi unipe namba ya sanduku lake la posta........khaaaa......vinywaji vinaonekana vitamu hivi......
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom